Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hukamatiki eeeh! Haya bana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duu, hahaa! Nataka wa kuanza nae moja, huyo tayari keshawekeza; hanifai! [emoji1]
Hukamatiki eeeh! Haya bana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duu, hahaa! Nataka wa kuanza nae moja, huyo tayari keshawekeza; hanifai! [emoji1]
Mental SlaveNi sawa na wale waliokuwa wanamkata Michael Jackson mpaka wakamaliza pua yote..
Binti alikuwa bado kigori kabisa inawezekana hata hilo saksafoni hakulionaAmekimbia saksafoni kubwa refu zito na nene au ni ishu zingine? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Shemejiiiii...
![]()
Dah!
Me nafikiri wao hufuata matakwa ya mteja.Ni sawa na wale waliokuwa wanamkata Michael Jackson mpaka wakamaliza pua yote..
Mimi nipo. Majukumu yamekaba balaa. Ila nipo. Kesho wapi?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nakusabahi tu shem wake
Karibu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!
Hii mitego hii[emoji7][emoji7][emoji7]
Kwani nyie madaktari hamuwezi kufika mahali mkasema aisee sasa yatosha? Au msisitizo ni pesa tu? Hakuna mambo ya moral responsibility kwa wateja wenu? Huwezi kumwambia mteja kuwa aisee tukichonga pua safari hii tutaimaliza yote?Me nafikiri wao hufuata matakwa ya mteja.
Ila huyu binti ana moyo aiseh!
Procedure zote hizo na hata robo ya ufanano hajafikia.