Nawe piaNAWATAKIA HAPPY VALENTINES DAY NA JUMAYLTANO NJEMA YA MAJIVU..
Kuna wakati daktari anaruhusiwa kufanya maamuzi kwa niaba na manufaa ya mgonjwa.Kwani nyie madaktari hamuwezi kufika mahali mkasema aisee sasa yatosha? Au msisitizo ni pesa tu? Hakuna mambo ya moral responsibility kwa wateja wenu? Huwezi kumwambia mteja kuwa aisee tukichonga pua safari hii tutaimaliza yote?
Kwanini upate tumbo joto wakati wajua yuko anahudumia wagonjwa?Eti Night Nurse......Kuoa nesi tena akiwa mrembo napo yataka moyo aisee. Siku akiwa zamu ya usiku we huku tumbo moto....