Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani nyie madaktari hamuwezi kufika mahali mkasema aisee sasa yatosha? Au msisitizo ni pesa tu? Hakuna mambo ya moral responsibility kwa wateja wenu? Huwezi kumwambia mteja kuwa aisee tukichonga pua safari hii tutaimaliza yote?
Kuna wakati daktari anaruhusiwa kufanya maamuzi kwa niaba na manufaa ya mgonjwa.
Ila kwa hawa wa cosmetics sijui nafikiri kwao ni pesa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…