Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Binadamu ni kiumbe mtata sana. Akili nyingi mbele giza. Janaume rijali kabisa eti halivutiwi kabisa na misambwanda ila likiona janaume jenzake na midevu juu ndo injini zinatokota. Kuna tatizo mahala kwa huyu Homo Sapiens si bure...Binadamu kwa nini sijui tunapenda kushindana na Mwenye Enzi Mungu!
Ehh Maulana Mola wangu naomba utuhurumie!
Hata wanyama wana mtii Mungu walahi!