Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
haya jirani,,Nilichozungumza ndo kinaambatana na hiyo picha
IndeedYeuwiii....
Kuna documentary hapa wanaeleza symbols maarufu kule Marekani na maana zake, ni mambo ya Freemasonry, miungu, Night Templar na mambo kibao ya "giza giza". Mji wa Washington DC ndo kabisaa...Kuna mengi hatuyajui katika ulimwengu huu....
True na kuwalinda vizazi vyetuTena matajiri wakubwa na watu mashuhuri duniani. Wanamwaga mabilioni ya dola kila mwaka kuhakikisha kuwa ujinga wao huu unaenea duniani kote. Mungu na Atusaidie kwa kweli...