mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kuna madhara kuvaa mawigi kumbeFahamu Madhara Ya Usukaji Wa Nywele Bandia Na Uvaaji Wa Mawigi
Katika karne ya sasa , uvaaji wa wigi umekuwa fasheni katika sekta ya urembo na hutumika hususan na wanawake. Ingawa uvaaji wa wigi huwafanya wanawake hao kuonekana ni walimbwende zaidi.
Du hatari sana1. Uvaaji wa wigi au nywele za bandia waweza kukusababishia mzio(allergy), endapo malighafi au kemikali zilizotumika kutengeneza wigi hiyo zitasisimua mfumo wa kinga ya mwili wa mvaaji.
Tupo hapaView attachment 694190mko wapi?
Poti potiMi safi kabisa, mambo?
Aiseee umenikumbusha mitumbwiHabari kama hizi yaani, hayo madubwana huwa naingia tu kwa vile sina namna! Nimezoea mitumbwi yetu kule Nansio aisee! Na hakuna abiria aliyesalimika!
Yap wataalamu wanasema usafiri wa anga 90% ni salamaHuu usafiri wa anga ni hatari sana. Ingawa wanasema ndio usafiri salama kabisa kulinganisha na ndege zinazoruka kwa siku!
Mkuu mambo vipiPamoja sana Kiongozi.
Ila siwezi kukuacha kinyonge.
Ngoja nikuache na AFRO PUFFS.
Shuka chini