Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

da46b4a6815200f1c2785f0f72dc548f.jpg
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817]
 
Numbisa uko wapi jamani ubuyu wa tukinao unakupita bhana
msikie mange sasa

mangekimambi_
.
.
Alafu kule sauzi wanaendeleaje?? Bado wanadai talaka au tayari wanajilaumu?? Maana yule mi nahisi alipaniki tu jana Valentine’s day hakutumiwa hata message akipiga simu dogo haipokei,akahisi dogo anakula mzigo wa valentines day kwa hasira ndo akatoa talaka 3 . We jiulize talaka ya saa 5 usiku siku ya Valentine’s Day, Huyo ni mwanamke ambae ana hasira za kukimbiwa tu yani alitegemea jamaa aonyeshe mapenzi hiyo siku alafu jamaa hata simu za demu hapokei..But still she made my day!! ....Sasa leo asubuhi ka namuona hasira zimeisha alafu talaka keshatoa alafu pa kwenda kuishi hana, nyambaf itabidi aje TZ kuomba sorry .
 
Back
Top Bottom