hahaa mange ako na stress mbayaaa
mangekimambi_No No No No No, Honey you didn’t leave Diamond, Diamond ndio amekuacha. How many times dogo alikuwa anakuonyesha kuwa hakutaki Wewe ndio ulikuwa unamng’ang’ania? Ulichotakiwa kusema leo ni kwamba umekubaliana na hali halisi kuwa dogo hatokaa kutulia kwa ajili yako.We usitechezeee akili eti wewe ndio umemuacha Dai,huna mshipa huo. Hata sasa hivi akiamua mrudiane una rudi fastaaaa sema tu dogo amekausha!
.
.
Nyambaf ulijua kuzaa fasta ndo kumkamata mwanaume, umenyooooshwa!! Welcome to the single moms club ila mwenzie nnao watatu!
.
alafu tusisikie unadai child support. Ulishasema hutokaaa kuomba child support kama kina Hamisa. Sasa huyo next nigger aje kutake over
.
Nyambaf ulishaambiwa Kigoma hatoki boi, ulidhani Bi Sandra kaja kuishi na wewe hapo kupiga mapicha tu? Nyambaf kakuvuta karibu akakufix, Bi Sandra katoa mguu south hata ndege haijatua TZ na mwanae hakutaki.
.
.
.
Ati yeye ni Mogul? Mnajua Zari kachanganyikiwa?Labda mogul wa kuongeza population . Zari ni feki sijapata ona. Ati inspire the world of women? Inspire them to do what? Kusubiria ex ‘afariki’ urithi college ya Mahousegirl wa S.A inayonuka madeni ya benki?
.
.
Na utoke kwenye nyumba ya mdogo wangu, na mimi nimekuwa ndugu kama Lady Naa
.
Happy Hunting Babes! Bye Felicia
Numbisa wapitwa jamani