Kuwa na uzito mkubwa ni moja ya sababu kubwa baada ya uvutaji wa sigara, Shirika la Afya duniani limesema nyama ya kusindika inaongeza kidogo hatari ya kupata saratani.
Wanasayansi kutoka chuo kikuu Sorbonne jijini Paris walifanya utafiti kufahamu vyakula ambavyo watu hupendelea kula, ambapo Wanawake wa makamo walikuwa wakifuatiliwa kwa miaka mitano
Matokeo kutoka jarida la kitabibu la nchini Uingereza yanaonyesha kuwa ikiwa kiasi cha vyakula vilivyo sindikwa sana vitaongezeka kwenye mlo kwa 10% basi idadi ya ongezeko la ugonjwa litafikia 12%
Licha ya kuidhinishwa kwa baadhi ya malipo ya matibabu katika bima ya kitaifa ya afya nchini, bado tatizo lipo kutokana na kutowepo kwa taasisi za kutosha za umma zinazotoa huduma hizo - na kwa chache zilizopo, hazina vifaa vya kisawasawa.
Tanzania hali sio tofauti sana, wakati kunashuhudiwa uhaba wa vituo vya kutibu wagonjwa wa saratani - kuhudumia idadi jumla ya zaidi ya watu milioni 50 nchini .
Kwa mujibu wa taasisi ya habari kuhusu kirusi cha HPV na saratani [HASHTAG]#ICO[/HASHTAG] - tofauti na saratani nyingine, saratani ya mfuko wa uzazi inaweza kutambuliwa na kuzuiwa kabla ishike kasi na kusamabaa kwa ukubwa.