Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
I WISH
Pole shemNaona JF APP imeji-update automatically kwenye mkweche wangu huu dah!
Salama kabisaKumekuchaje bandugu?
duh! kutembea sasa
Binafsi nshachoka nao hawa. Kila kitu saratani. Tule nini sasa?Utafiti: Vyakula vya kusindika huleta saratani
Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani.
Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa vinasindikwa sana.
Utafiti uliofanywa kwa watu 105,000 umeonyesha kuwa vyakula hivyo huliwa zaidi, hivyo wako hatarini kupata saratani.
I don't care if it is fashion or punishment lakini toto lina miguu mizuri ajabu. That's all I wanted to say [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu huwa wana thrive kwenye fear za watu!Binafsi nshachoka nao hawa. Kila kitu saratani. Tule nini sasa?
Ovarian cancer. Deadly one too hasa ikichelewa kugundulika. Imemuua mke wa rafiki yangu hivi hivi yaani. Alianza kupata irregular periods, mara tumbo linauma, mara hawezi kungonoka anaumia kuja kuchunguza tayari stage 4. Kafa namuona hivi hivi yaani shemeji yangu na uzuri wake. Sad !!!Takwimu zinaonyesha kuwa saratani ya mfuko wa uzazi ni chanzo kikuu kwa wanawake wanaougua saratani Tanzania.
Ondoa mkono hapo weweeeee...
Leo wanasema hivi, kesho tena hivi ali mradi vurugu tupu. Utakuta makampuni makubwa ndiyo wafadhili wakubwa wa tafiti hizi na yanapambana kuchafuana ili kuharibiana na kuvutia wateja.Hawa watu huwa wana thrive kwenye fear za watu!
Yaani mimi ndiyo sina muda nao kabisa!
Ni biashara tu!
Hahahaha trueLeo wanasema hivi, kesho tena hivi ali mradi vurugu tupu. Utakuta makampuni makubwa ndiyo wafadhili wakubwa wa tafiti hizi na yanapambana kuchafuana ili kuharibiana na kuvutia wateja.
Nitakula ninachotaka kwa muda ninaotaka na kwa furaha kabisa and if I die, I die !!!