Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Binafsi nshachoka nao hawa. Kila kitu saratani. Tule nini sasa?
 
Takwimu zinaonyesha kuwa saratani ya mfuko wa uzazi ni chanzo kikuu kwa wanawake wanaougua saratani Tanzania.
Ovarian cancer. Deadly one too hasa ikichelewa kugundulika. Imemuua mke wa rafiki yangu hivi hivi yaani. Alianza kupata irregular periods, mara tumbo linauma, mara hawezi kungonoka anaumia kuja kuchunguza tayari stage 4. Kafa namuona hivi hivi yaani shemeji yangu na uzuri wake. Sad !!!
 
Hawa watu huwa wana thrive kwenye fear za watu!
Yaani mimi ndiyo sina muda nao kabisa!
Ni biashara tu!
Leo wanasema hivi, kesho tena hivi ali mradi vurugu tupu. Utakuta makampuni makubwa ndiyo wafadhili wakubwa wa tafiti hizi na yanapambana kuchafuana ili kuharibiana na kuvutia wateja.

Nitakula ninachotaka kwa muda ninaotaka na kwa furaha kabisa and if I die, I die !!!
 
Hahahaha true
Jamani poleni kwa shootings za Florida
17 dead ohhh my Goddess!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…