mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nkosazana huyu ashakuwa Waziri wa mambo ya nje wa SAWake aliotalikiana nao
Nkosazana Dlamini-Zuma (alimuoa mwaka 1972; na kuachana naye 1998)
Kate Mantsho (alimuoa 1976; alifariki 2000)
Hata kwangu niaje broNaona JF APP imeji-update automatically kwenye mkweche wangu huu dah!
Hujambo bibieThrough every dark night there is a bright day
Hahahahaha adhabu
Kwenye mvinyo mkali na magari ya kasi kama mimiCyril Ramaphosa ni nani?
Ni mpenda magari yaendayo kwa kasi, mvinyo ulio ghali, ni mvuvi na mkulima - si mwingine ni Cyril Ramaphosa.
Huo mkono unafanya nini hapo
Huku kwema ndugu. Bado uko Tanga?Hata kwangu niaje bro
Uamuzi sahihi kabisa kwa wakati sahihiRamaphosa aliwashangaza wananchi wengi wa Afrika Kusini ambao walimwona kama mwanasiasa wa kuaminika zaidi wa kizazi cha baada ya Mandela, aliamua kuachana na siasa na kuwa mfanyabiashara.
Unamiliki gari gani la kasi mkuu nije nilijaribu? Barabara ya Makutupora ile itafaa zaidi...Kwenye mvinyo mkali na magari ya kasi kama mimi
SijamboHujambo bibie
HahahahahaOndoa mkono hapo weweeeee...
Bado mkuusiku inaelekea ukingoni
Jibu la binti niliogopa kuliweka hapa ila kamjibu vizuri sana !!!Hahahaha
Na mshikamano piatuwe na amani na upendo
Tuheshimianetupendane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba tu nikiri tena kwa nia njema. Huyu si ajabu ni Msukuma huyu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]