Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

fca9cdb91845507d12ad88d3034b4d07.jpg
Mtoto anakuwa yatima mbaya sana utafutaji mwingine hovyo sana
 
Wewe ni ndugu yangu bana...hiyo inapita tu.
Piga jibapa mafua yatakata[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Aisee, jibapa linaweza kuibua mambo mengine! Ila hii flu season hii huku ni kiboko! Imeondoka na watu wengi sana, hasa watoto! Nilizembea kupata ile flu shot baada ya kudhihirika kwamba, kinga yake ni 17% tu! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom