Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

D97734D4-E29E-491F-BAEE-E4EB78E424C2.jpeg
 
Nikija niulizie nani[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
"Kama unavyoona, mimi ni kimodo fulani hivi matata sana kutoka Dar. Namuulizia Mkerewe mmoja mtu wa makamo anayeendesha semina ya Forex hapa hotelini. Anaendesha Bentley ya kijivu hivi yenye milango mitatu..."

Utampata mara moja !!!
 
Andaeitini unavyo penda kubembelezwa na Carba huponi leo wala kesho....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] endelea kuumwa ili Carba akose amani
Kumbe na wewe ulishaliona hilo eeh...

Ila tuacheni utani, kubembelezwa na MD kuna raha yake jamani. Mi mwenyewe kuna siku upweke ukinizidia najiuguzaga tu ili angalau nibembelezwe. Yaani nikisikia "basi shemeji kipenzi I emu oni mai wei nakuletea dawa" yaani full magego navaa kibukta changu nakwenda jogging [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom