Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Flu season ya safari hii naona kiboko. Pole sana. Ni hatari sana kwa siziazi na watoto. Kwa maandaeitini kama wewe labda ukiwa na matatizo mengine kama ya kifua na moyo. Otherwise ni inconveniences tu. Maji kwa wingi, Allegra D, home remedies, kupumzika inatosha na kubembelezwa na Carba vinatosha. Endelea kuimarika [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] sentensi ya pili kutoka mwisho ndo penye mgogoro na afya mtu.... Haponi
 
*MATATIZO NI KAMA MATAKO*

*KUNA WENYE MADOGO NA MAKUBWA LAKINI HAKUNA AMBAYE HANA KABISA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] hata sijui kama nimeelewa!!!
a304496165950e54d0f9ad07765b46f8.jpg
06f0f53a037892b426881994774d18a5.jpg
b70a268d61959e7aaef2ac84b6bb1c80.jpg
f2d31195165876fc4fd29715c3ebc614.jpg
e298312c39cfe3e178956bf3540f9810.jpg
 
Flu season ya safari hii naona kiboko. Pole sana. Ni hatari sana kwa wazee na watoto. Kwa maandaeitini kama wewe labda ukiwa na matatizo mengine kama ya kifua na moyo. Otherwise ni inconveniences tu. Maji kwa wingi, Allegra D, home remedies, kupumzika na kubembelezwa na Carba vinatosha. Endelea kuimarika [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Hiyo ya kubembelezwa imenipa ahueni ya ghafla! [emoji1][emoji1][emoji1] Shukrani sana mkuu, na haka ka long weekend kanakokuja, Nadhani nitapata mapumziko ya kutosha kabisa! [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom