Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Enjoy the goodies!
Screenshot_2018-02-16-21-37-17.jpg
 
Sawa mkuu. Zima simu. Zima kompyuta. Zima TV. Kaa kwenye bathtub kwa lisaa limoja hivi just relaxing and meditating1. Deep breath. Positive thoughts...chakula chepesi (supu ya moto na/au tangawizi) halafu lala kwa kadri inavyowezekana....

Hii kupumzika wakati umekaza macho kwenye simu/TV/Kompyuta siyo real kupumzika kwa sababu ubongo unakuwa bado unashughulika sana kuprocess mambo kibao.

Ushauri mzuri sana, ingawa ni mtihani kweli kuutekeleza! TV na Computer ni rahisi sana kutekelezeka, tatizo ni haka ka simu! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom