Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

received_404210576693183.jpeg
 
Hiyo ya kubembelezwa imenipa ahueni ya ghafla! [emoji1][emoji1][emoji1] Shukrani sana mkuu, na haka ka long weekend kanakokuja, Nadhani nitapata mapumziko ya kutosha kabisa! [emoji120][emoji120]
Sawa mkuu. Zima simu. Zima kompyuta. Zima TV. Kaa kwenye bathtub kwa lisaa limoja hivi just relaxing and meditating1. Deep breath. Positive thoughts...chakula chepesi (supu ya moto na/au tangawizi) halafu lala kwa kadri inavyowezekana....

Hii kupumzika wakati umekaza macho kwenye simu/TV/Kompyuta siyo real kupumzika kwa sababu ubongo unakuwa bado unashughulika sana kuprocess mambo kibao.
 
Kweli Mimi napenda kwenda Shamba kabisa no network kweli hapo unapumzika kabisa
 
Back
Top Bottom