Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe ni ndugu yangu bana...hiyo inapita tu.
Piga jibapa mafua yatakata[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Aisee, jibapa linaweza kuibua mambo mengine! Ila hii flu season hii huku ni kiboko! Imeondoka na watu wengi sana, hasa watoto! Nilizembea kupata ile flu shot baada ya kudhihirika kwamba, kinga yake ni 17% tu! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…