[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe na wewe ulishaliona hilo eeh...
Ila tuacheni utani, kubembelezwa na MD kuna raha yake jamani. Mi mwenyewe kuna siku upweke ukinizidia najiuguzaga tu ili angalau nibembelezwe. Yaani nikisikia "basi shemeji kipenzi I emu oni mai wei nakuletea dawa" yaani full magego navaa kibukta changu nakwenda jogging [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaaaaa...yaani ile "shemeji kipenzi" na "oni mai wei" kwako ni faraja muruuua kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Sijui yuko wapi...Ni binti wa aina yake kwa kweli....
Lets take a moment,tushukuru uumbaji huu eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] he[emoji12] he[emoji12] he[emoji12]he [emoji12]heeeee...dunia hii...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Habari za mida hii wadau wa likes
Marehemu kafa ghafla,kumbe kataka mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Mzigo kama huu ukikubong'olea kama una matatizo ya moyo that's it...[emoji444][emoji443][emoji445]Parapanda italia parapanda.....[emoji445][emoji443][emoji118].[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kana ushawishi kweli.
Nataka niumwe nikalazwe hospitalini kwake...
Carba: pole mgonjwa wangu
Andjul: ahsante sana
Carba: nini tatizo baba
Andjul: parachichi...
Carba: parachichi!? Limefanyaje?
Andjul: limekosa hudumu linanenepa tu
Carba: jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Andjul: nisaidie binti...linazidi...
Carba: [emoji126] [emoji126] aiem oni mai wei... utapona
Huyu mzee ni shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Carba njoo !!! Kuna mgonjwa huku ana hali mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]