Kwenye uchaguziMko wapi wadau
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama ni mimi namdabua kofi hapo hapo...utani mzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtumishi wa uma au mchunga kondoo?Kiarie....Mtumishi...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaani nilikuwa nakuandalia chai nikuletee,ila aaagrrr!!
Naweka chumvi[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hii vita sijui itaisha lini walah[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu habari za jioniHahahahaha
Kamchagueni, badaye akiahidiwa donge nono anasepa akiwaacha mnashangaaKwenye uchaguzi
Kuko shwari??Kwenye uchaguzi
Siasa za kusini mwa jangwa la saharaKamchagueni, badaye akiahidiwa donge nono anasepa akiwaacha mnashangaa
Hata sijui jirani maana siko pande hizoKuko shwari??