ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Weee acha tu.carbamazepine, nilikuwa nakuja zangu hapa mdogo mdogo, nikapitia mtaa wa pili hapo! Naona kuna liuzi lirefuu, na wewe nimekuona hapo. Kuna nini? JF hii bana, hatari!
Weee acha tu.
Huko mambo ni hiviii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watu wanachafuana huko hatari.
Waendeleaje lakini na flu?
Hahahahaha
MsogaKisemvule
Huo uzi ni part3 sijui4 yaani acha kabisa.Hahaa, aisee! Mi naendelea vizuri kabisa! Basi weekend njema!
MsolwaVikindu
HahahahahaKana ushawishi kweli.
Nataka niumwe nikalazwe hospitalini kwake...
Carba: pole mgonjwa wangu
Andjul: ahsante sana
Carba: nini tatizo baba
Andjul: parachichi...
Carba: parachichi!? Limefanyaje?
Andjul: limekosa hudumu linanenepa tu
Carba: jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Andjul: nisaidie binti...linazidi...
Carba: [emoji126] [emoji126] aiem oni mai wei... utapona
Picha ya ndegeMwandege
Hahahahaha@Carba njoo !!! Kuna mgonjwa huku ana hali mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CCTBakwata