Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huo uzi ni part3 sijui4 yaani acha kabisa.
Kuna nyingine kama 3 hivi zimefutwa.

We mkongwe humu ndani ila nakusihi uwe makini na watu unaowasiliana nao pm si kila mtu ni mzuri kwakweli.


Eniwei,ugua upona haraka.
Uwe na weekend njema pia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Asante sana! PM nilitumia kipindi cha nyuma, tena na watu ambao bado tunawasiliana nao kwa namna nyingine! Very good friends of mine, good people! Na siku hizi wala siwaoni humu, wako busy na maisha yao! Siku hizi hata kunusa sinusi hiyo PM!
 
Michael-Jordan-1988-Dunk-Contest-30th-Anniversary.jpg
Air Jordan
 
Asante sana! PM nilitumia kipindi cha nyuma, tena na watu ambao bado tunawasiliana nao kwa namna nyingine! Very good friends of mine, good people! Na siku hizi wala siwaoni humu, wako busy na maisha yao! Siku hizi hata kunusa sinusi hiyo PM!
Kama ni hivyo ni vizuri sana.
Kila siku nazidi kujifunza humu.

Ukitaka juice useme nikuletee baadae sawa eeh??mgonjwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom