ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Munishi...Malebo...Ngoma yake ya Wanamwabudu Nani ni classic...
Ndo uzi unao trend pale juu nimeingia nimesoma lakini sijauelewa kabisaMmu huko
Wacha niende huko mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sponsor shimba ngoja nikuachie kwa muda
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
Hii ni part 4 nafikiri[emoji116][emoji116][emoji116]Wapi huko. Weka link hapa...
Nitonye ukikutana na ubuyu wa moto huko...Wacha niende huko mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sponsor shimba ngoja nikuachie kwa muda
Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
Cha mdeko mwenzio anataka ubuyu kampe bhana[emoji23][emoji23][emoji23]anapata shida page ni nyingi zile[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Haya mambo yanahitaji umakini wa hali ya juu kwakweli.Watu niliowahi kuwasiliana nao PM hapa hawazidi wanne, na mara nyingi tunajadili mambo ya kawaida tu....
Mambo ya mtandao haya ni shida kwa kweli...
Page za mwanzo huwezi kuelewa stori ilikoanziaNdo uzi unao trend pale juu nimeingia nimesoma lakini sijauelewa kabisa
Kwani link hujaiona??Nitonye ukikutana na ubuyu wa moto huko...
Sema si unajua si wengine ndimi zetu zimechubuka ubuyu na ss tofautiPage za mwanzo huwezi kuelewa stori ilikoanzia
Mambo mengine ni bora tu yakupite.Sema si unajua si wengine ndimi zetu zimechubuka ubuyu na ss tofauti
Nahisi Nakujua kabisaaMy favor place for basketball
Itakuwa ni Mimi kwakwelAisee nilikuwa na kamanzi kazuri kweli hapo
Tunakula