Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

46c477c1ed92ad00d8571e8cefc4b23e.jpg
 
Kama ulipata screenshot/picha nirushie...

Mambo ya PM hayo. Tuwe waangalifu jamani...
Ubuyu wenyewe umeanza siku nyingi sana sema leo nso ulipamba moto.
Screenshots sikupata maana mwenyewe mwingine ulinipita.

[emoji117][emoji117][emoji117]humu ndani ni kuwa makini na watu unaowasiliana nao pm ama nje ya hapa.
Maana yaliyotumwa huko leo ni aibu tupu
 
Back
Top Bottom