Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi kubembelezwa tu hamna lolote. Si ajabu hata hakaumwi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaaa... Wameshaibuka, bado yule bingwa, si ajabu anashuka na jibapa sasa hivi! Kwema lakini? Sasa unafikiri bila mubembelezo atapona mtu kweli hapa? [emoji1][emoji1]
 
Nimeghairi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisijepitwa na matukio bureeee
Halafu sio "juicy" Muone[emoji23][emoji23][emoji23]
Waweza ukawa sio "juicy" lakini una "juicy". Kuna tofauti [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Back
Top Bottom