mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kama kawaidaWeekend inaendelea
HahahaEiyaaaa....si unalijua utamu wake?
HahahahahaKanzu la nabii Tito
Hahahahaha umeona heeMmmh hili chenza haswaa
Dah msamiati mkaliHata mti wa mchenza unapata utamu wa ulwaji wa chenza lake. Mungu ni wa ajabu kabisa
LikesToa nawe upate
Pamoja mkuu
HahahaSweeter than honey! YUMMY!
Asante kwa taarifa mkuuNdio Kiongozi.
A TRIBE CALLED QUEST bado wapo kamili gado.
Na hata Mwaka jana walifanya Tamasha la Kumbukumbu ya kumuenzi Kinara wao Marehemu PHIFE DAWG
Enzi za usichana wake alikuwa hatari sana
Enzi za usichana wake alikuwa hatari sana
HahahahahaUtafikiri hanyi dah !!![emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Nimeona handbag nyekundu