Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poti unaonekana mambo ya mziki hayajakupiga chenga! Au nyie mlikuwa ma DJ nini wakati sie bado tunaruka na lile TOTO DISCO! Akina Seydou Mkangara au akina Magai? [emoji23][emoji23][emoji23]
Poti mziki upo kwenye damu sana
Hile mitaa yetu ilikuwa noma
Hard Blasters Crew
Diplomats
Kwanza unit
Watu wangu wa karibu ningeingia kwenye game sema mzee alikuwa mkali sana nikaishia kwenye Basketball
 
Mwenye picha ya carba anitumie
4af31b01fd044a22a78059b3a5cc27f8.jpg
 
Back
Top Bottom