Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

27880012_393600071084970_6947693021047554048_n.jpg
Huyu naye ana mashamba ya machenza
 
Mwalimu ajinyonga baada ya kumuua Mkewe




Mwalimu wa shule ya msingi Dutumi iliyopo tarafa ya Mvuha Morogoro aliyefahamika kwa jina ya Rahaleo Salehe Kazimbaya amejinyonga hadi kufa kwa kutumia Kanga kujitundika kwenye mti wa Mwembe mda mfupi baada ya kumuua mkewe Sikilinda Magumba.

Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la polisi bwana Rahaleo Kazimbaya usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake mtaa wa Kambi Tano, Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro alimuuwa mkewe huyo kwa kumchoma visu sehemu mbalimbali kwenye mwili wake na kupelekea kupoteza maisha, kisha baada ya kutukeleza mauaji hayo na yeye alichukua kanga na kujinyonga.

Mpaka sasa bado haijafahamika nini chanzo cha mwalimu huyo kufanya muaji hayo kwa mkewe kisha na yeye kujinyonga, ila jeshi la polisi limechukua miili ya watu hao mtu na mkewe na kwenda kuihifadhi mochwari.

Aidha Jeshi la polisi linaendelea na upelelezi kufuatia vifo hivyo .
 
that romantic moment when your girlfriend is sweating in the kitchen preparing yummy dinner for you...whereas you are relaxing on the couch chatting with the lover of your life

Men ile radi itawachapa bado inavaa viatu Supreme Court [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajali ya ndege yauwa Watu 66






Watu 66 wamefariki papo hapo kwenye ajali mbaya ya Ndege iliyotokea leo asubuhi huko nchini Iran baada ya kuanguka mlimani.

Ndege hiyo yenye namba ATR-72 iliyokuwa ikisafiri kutoka Tehran kwenda jijini Yasuj imedondoka katika milima ya Semirom iliyopo kusini mwa Iran.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka shirika la habari la AP, Watu wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamefariki huku chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.
 
Back
Top Bottom