Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
ac4303c173080c6d6643d8787d761a20.jpg
 
Mdanga ni nini? Yego we umeelewa? Kakimbaumbau kamenenepa au ni vaisi vesa? This is very crucial info. Pulizi helupu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui mdanga?doh!
Sijui niamue tu kukutesa na huu msamiati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdanga ni *************[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Umejiripua bila kutegemea. Nimeuliza swali hapo juu kuhusu maana ya mdanga. Naomba unijibu tena kwa ufasaha !!!

Isije ikawa unajifanya kimbaumbau hapa kumbe unefungasha balaa....
Aaah!wapi
Sijajiripua wala nini.
Mdanga ni msambwanda shem
Yaani shem niko ka kiroba cha unga kilo 50[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom