myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes kwa posti
Nani anadanga?Hili neno, “Danga” hata Beef Lasagna huwa analitumia sana! Tunaomba tafsiri basi, BL! [emoji23][emoji23]
Ushatoa Jibu kuwa ni msambwanda. Kama hivyo ndivyo, ina maana recently umefumuka msambwanda mpaka nguo zinakubana inabidi ununue zingine?Sijui niwatese tu na huu msamiati[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona SYB kaenda tafuta maana kwenye kamusi
Kasema eti ni msambwanda. Si ajabu katuingiza choo cha kike huyu binti...Hebu ulizia huko halafu ulete mrejesho...[emoji23][emoji23][emoji23]Bro danga mi nimeisikia huku mbagara lakini maana yake sijui
Sio danga bhanaBro danga mi nimeisikia huku mbagara lakini maana yake sijui
Au pombe za kienyejiMataptap
PombeTogwa
Nani anadanga?