Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa CCM nahisi upo safe au haya mawazo ya balimi maana nimewaza nikawazuwa huu upande niliopo ni shidaaa... Yule wa chadema aliyetewa na wasiojulikana .... Tumesahau [emoji22][emoji22][emoji22] huu upande nitakufa kwa machungu ya moyo ngoja nijitafakali upya
Mianasiasa na misiasa yao. Kuifuatilia misiasa na mianasiasa ni mwanzo wa kujipatia magonjwa ya moyo, depression na hata BP. Ndiyo maana watu wengi kwenye jukwaa la siasa utafikiri ni vichaa. Ni symptoms za msongo mkali wa mawazo...
 
Back
Top Bottom