Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Kwani na wewe DANGANaye huwa hajibizani sana. Akikujibu nishtue !!!
Kwani na wewe DANGANaye huwa hajibizani sana. Akikujibu nishtue !!!
Danga ni sponsor[emoji23][emoji23]Hili neno, “Danga” hata Beef Lasagna huwa analitumia sana! Tunaomba tafsiri basi, BL! [emoji23][emoji23]
Hapaswi kuonekana JF mpaka Jumatano ijayo. Ukimuona humu nitag please. Tumebet....Wapi numbisa
Mnara unasoma
Konyagi mwituSoda pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushatoa Jibu kuwa ni msambwanda. Kama hivyo ndivyo, ina maana recently umefumuka msambwanda mpaka nguo zinakubana inabidi ununue zingine?
Nyama ya hovyo kabisa hii. Utafikiri unakula karatasi...Mapupu ya ng'ombe
Hahaaaaaaa matamuNyama ya hovyo kabisa hii. Utafikiri unakula karatasi...
Hivi shem nishawahi kukudanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasema eti ni msambwanda. Si ajabu katuingiza choo cha kike huyu binti...Hebu ulizia huko halafu ulete mrejesho...[emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau kulike kabla hujatokomeaNATOKOMEA KUSIKO JULIKANA LEO
So ina maana umepata sponsor anakutunza umenenepa mpaka nguo zinakubana inabidi ununue nguo mpya? Kama ni hivyo si umwambie tu huyo sponsor akununulie? Mbona tena unalalamika kuwa inaharibu bajeti yako?Danga ni sponsor[emoji23][emoji23]
Toa maana ya hilo neno kwanza basi. Wabongo bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani na wewe DANGA
Wasalimie....NATOKOMEA KUSIKO JULIKANA LEO
Hahaaaaaaa sponsorToa maana ya hilo neno kwanza basi. Wabongo bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]