Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimeiweka makusudi. Hiyo rangi....Byutiful
Asante kwa kunikumbuka maana nilikuwa natangatanga huko kwenye siasa ghafla nikakutana na mnyama MITUSI tukaanza kupigana, mods wakatutupa nje siku mbili.,,,haki ya Mola wangu walahi, usiache mpumbavu akakushusha kwenye level yake!uwiiiiWapi isis
hahahahaKala ban
Jamani shimba uwii
I like the house
Siyo hiyo yoga sis?I like the house
Nilishangaa sana kwa sababu we wala siyo mwongeaji kivile. Basi itakuwa walikutibua sana. Jukwaa la siasa huko siku hizi napita kimya kimya tu. Hata useme nini we jiandae kutukanwa tu. Sad !!!Jamani shimba uwii
Maisha ya sasa ngozi ngumu ni lazima!Nilishangaa sana kwa sababu we wala siyo mwongeaji kivile. Basi itakuwa walikutibua sana. Jukwaa la siasa huko siku hizi napita kimya kimya tu. Hata useme nini we jiandae kutukanwa tu. Sad !!!
Hapana kwa kweli nyumba imepangika vizuri sana, napenda sana wood! Especially Zanzibar styleSiyo hiyo yoga sis?
That’s exactly what I did! Sasa najiandaa na MITUSI niliyobeba toka store na kuifuta vumbi maana haijatumika muda mrefu, nakutana na zinga la BAN ouch walahi!
Magnificent!
Jaribu mchana na asubuhi uone mautamu mkuu[emoji3] [emoji3]Mm napenda usiku saa 4
Hapana mkuu vitukuu vyako vinasumbua sna asubuh na mchanaJaribu mchana na asubuhi uone mautamu mkuu[emoji3] [emoji3]
Pole mkuu, siku nyingine mpumbavu akikupiga shavu la kuume mgeuzie na la kushoto. Pia usisahau kuwa siasa zetu hapa ni pasua kichwaAsante kwa kunikumbuka maana nilikuwa natangatanga huko kwenye siasa ghafla nikakutana na mnyama MITUSI tukaanza kupigana, mods wakatutupa nje siku mbili.,,,haki ya Mola wangu walahi, usiache mpumbavu akakushusha kwenye level yake!uwiiii