Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Kwa kutumia utafiti usio rasmi, utakubaliana nami kuwa kumekuwa na mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa mwanaume ukiwa umemuoa mwanamke na kuwa mwili mmoja, basi una kila haki ya kumshika sehemu yoyote uipendayo hasa wakati unahitaji kufanya nae tendo la ndoa.