myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji119][emoji137]
Lete mamboUTAFITI: MUDA SAHIHI WA KUFANYA TENDO LA NDOA NI UPI? .
Mhhhh sina hakika na utafiti huu fumanizi ni anytime any placeHata hivyo, muda huo ulikubaliwa na wengi si tu kwa sababu una utulivu wa hali na mazingira, lakini pia ni wakati ambao hisia za mapenzi huamka kwa watu ambao pengine walikuwa na majukumu ya kazi mchana kutwa. Ukichunguza utabaini kuwa wanandoa wengi nyakati hizi huwa faragha na hata mafumanizi mengi hutokea kati ya saa 3 na saa 4 usiku.
Majukwaa ya siasa yamechafuka, ukiwa na akili mbaya utachukua mambo ya mtaani na kuanza kutukana. Huko ni mwendo wa povuWapi huko
WhyMm napenda usiku saa 4
Yaani siku zinakwenda!Inayoyoma
IndeedUsiku wa burudani
Du hatari sana