mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amun RaAsante kwa kunikumbuka maana nilikuwa natangatanga huko kwenye siasa ghafla nikakutana na mnyama MITUSI tukaanza kupigana, mods wakatutupa nje siku mbili.,,,haki ya Mola wangu walahi, usiache mpumbavu akakushusha kwenye level yake!uwiiii