mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amun RaAsante kwa kunikumbuka maana nilikuwa natangatanga huko kwenye siasa ghafla nikakutana na mnyama MITUSI tukaanza kupigana, mods wakatutupa nje siku mbili.,,,haki ya Mola wangu walahi, usiache mpumbavu akakushusha kwenye level yake!uwiiii
HahahahaWakati wowote mkuu unafaa
Mkuu safi, mambo vipiHahhaahaa mkuu niaje
Sio pozi lake[emoji23] [emoji23] [emoji23]I like the house
IndeedMungu ndie mkamilifu..
Hovyo sana kuleNilishangaa sana kwa sababu we wala siyo mwongeaji kivile. Basi itakuwa walikutibua sana. Jukwaa la siasa huko siku hizi napita kimya kimya tu. Hata useme nini we jiandae kutukanwa tu. Sad !!!
Panakuwa pametulia alafu usumbufu wa vitukuuu si unajua
No way!Sio pozi lake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Punguza hasira my love siasa wacha tuwaachie wenyeweMaisha ya sasa ngozi ngumu ni lazima!
Yaani nilitukana mpaka zile post siwezi kuzisoma walahi naona GODDESS KALI aliniingia walahi!
Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaribu mchana na asubuhi uone mautamu mkuu[emoji3] [emoji3]
Pole sana my QueenHahahaha
Amun RaAmun Ra