Hahahahaha dah nimecheka hatari
Tehetehetehe
Hahahahaha
Michael & Vivian
Kweli kabisa maneno kuntuNyota wa zamani wa Arsenal Thierry Henry amesema anaamini Neymar hawezi kukimbia kivuli cha Lionel Messi labda abadaili aina ya mchezo lakini si kuhama timu na kuendelea kucheza soka.
"Sijui kama Neymar alitoka Barcelona kukimbia kivuli cha Messi, ni kweli kwamba wachezaji wote wako katika kivuli cha Messi, na kama Neymar hataki kuwa, anapaswa kubadili mchezo," amesema Henry.
Hahahahaha
Alianza kama timu meneja mwanzoni mwa miaka ya 70, chini ya uenyekiti wa mzee Abubakar Mwilima na Katibu mkuu Mikidadi Kasasnda. Kumbuka pambano la Simba na Yanga Nyamagana Mwanza. Baadaye akahama Simba na kwenda kuanzisha timu ya Nyota Nyekundu akiwa Viongozi na wanachama wengine waandamizi wa simba. Akiwemo Iqbar Fakrudini, Kessy Mjinga, na mchezaji wa zamani wa Simba Mussa LibabuHuyu alipita Luanda Angola bila viatu miaka miwili mvua ilikuwa haijanyesha lakini Siku hiyo ilipiga mvua hatari Simba wanampiga Aveacao kwao
Kuna stori nyingi sana Juu ya huyu ya mtu hata kwenye kambi alikuwa analala nje hakuna mchezaji kutoka
Amir Ally Bamchawi
AiseeMhubiri wa injili Billy Graham, aliyepata umaarufu mkubwa duniani katika karne ya 20 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99.
Graham, raia wa Marekani, alieanzia kuhubiri jijini London Uingereza mnamo mwaka 1954, alikusanya maelfu ya watu kila mahali alipofanya mikutano ya hadhara ya injili.
Afrika Mashariki, Graham aliwahi kuhubiri Tanzania, miaka 55 iliyopita, wakati nchi iliitwa Tanganyika, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya Afrika miaka ya 1960. Takriban "watu 40,000 walihudhuria mkutano huo wa siku moja, tarehe Feb 28. 1960", kwa mujibu wa mtandao wa shirika lake.
Hahahahaha acha uongommh 1960 itakua nilikua darasa la pili hivi hahaha