Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu hizo ngoma uliziona wapi? Maana ni ngoma maarufu maeneo ukanda wa pwani za kumtakasa kinyamkera mwana wa shetani. Je zipo pia kanda hiyo?Kuna ngoma za madogori leo zinakesha hakuna kulala mapema