Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wakerewe pia wanazo unless kama nimekosea jina. Ngoja Yego au Mzee mwenyewe waje watie neno...Mkuu hizo ngoma uliziona wapi? Maana ni ngoma maarufu maeneo ukanda wa pwani za kumtakasa kinyamkera mwana wa shetani. Je zipo pia kanda hiyo?