Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni Rahisi Kuona Fursa Ugenini
Ukifanya utafiti mfupi utaona hata wewe mwenyewe unakawaida ya kuona fursa nzuri zaidi unaposafiri,ukiwa njiani au ukiwa umefika uendako(ugenini). Akili inafunguka kwasababu ya kuona vitu tofauti na vile ilivyovizoea.
 
Halii hii ya akili kuwa makini na vitu vipya inawasaidia wageni kuona fursa za mafanikio kuliko wenyeji wa eneo hilo. Mfano wakati dunia nzima inatamani kuja Tanzania kuona na kupanda mlima Kilimanjaro,sisi wenyewe (Watanzania) hatuna hata mpango wa kufanya hilo na hatuoni umuhimu wala muto wowote.
 
media.jpg
 
Back
Top Bottom