Kwakuwa kulikuwa na malkia kwa muda mrefu[emoji3] tumeshamchoka huyo mama, kama inawezekana ajiondoeView attachment 699703line ndefu prince Charles ,prince William, prince George kutakuwa hakuna malkia kwa kipindi kirefu
HahahahaKwakuwa kulikuwa na malkia kwa muda mrefu[emoji3] tumeshamchoka huyo mama, kama inawezekana ajiondoe
Ukisoma hii hukumu unaweza kushtuka, kumbe si lolote si chochote, ni miaka 3 tu ambayo nayo inaweza kupunguaMheshimiwa hakimu mimi ni mgonjwa nasumbuliwa na marathi ya mgongo, shinikizo la damu na sukari," alisema Gura. "Maradhi haya yananifanya nisiweze kusimama kwa muda mrefu. Naiomba mahakama iniangalie kwa jicho la huruma."
Hakimu Simba alisema adhabu hizo za kifungo jela zitakwenda sambamba na kwamba mahakama imezingatia maombi ya mshtakiwa.
Katika kesi hiyo Gura anadaiwa kutenda makosa hayo kati ya Agosti,2014 na 2015.