HahahahaSiku ile ulipokosea ukaweka picha yako nilihangaika sana lakini nikawa naishia kupata hii tu ya binti wa De Santos. Na Mzee alisema unafanana naye basi nikajisemea "hata hii inatosha" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Viongozi hawa ambao si wa kuchaguliwa huchoshaMugabe alikuwa anawakoromea kila siku walipomtaka aachie madaraka...
Ni vema na ni haki kwa kweli!You became the fire yourself. Continue burning...to infinity as you are immortal !!!
Matatizo pia ni nyumbani kwake kila mtu anataka madaraka!Alikuwa na mawazo mazuri sana kuhusu Afrika. Wakubwa hawakuyapenda naye hakuchanganua mambo sawa sawa....
Kachero aliyekubuhu
Hahahaha
IndeedKachero aliyekubuhu
Zimefanyaje. .au ndio tupo darsa.Shanga
Kichwa kichafu kaharibu akipata haki yake