mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hicho chuma lazima kiwe na harufu kali
Prince Charles anautaka Ufalme kwa hali na mali lakini hana namna, asubiri tu.Shida mpka afe
Hapo ndipo prince Charles anapopata frustration anapenda sana kuwa mfalme wa UK lakini anampenda sana mama yake Na awezi kuwa mfalme mpka mama afe
Mkuu ile mi niliinasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha nilimwambia aitoe haraka sana wanaume wakwere sana
Kwa kweli shimba malkia Wangu ni mrembo kweli kweli
Umbea ulio mtamu kuusikia ni ule wa kubahatisha, hauna uhakika, yaani maneno ya kuunga unga. Wenyewe wanapendaga hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kaa kimya kama hauna vielelezo(facts) vilivokamilika kuhusu unachotaka uzungumze