Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Yeyoye akija lazima akapige pichaaaaNice place
Yeyoye akija lazima akapige pichaaaaNice place
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]pamekuwa kama dampoRelwe club
Mkuu kwa nyagi nawe kumbe ni mzima[emoji3] [emoji3]Haiyaaaaa mbona nilipost muda nipo hapa dah tungepiga nyagi za kutosha
Wamasai wanapatikana hapoDaladala stendi
Kwa massterNzhughuni
Kuku wa kienyeji wa kumwagaSokoni
Njema dadakeHabari ya ijumaa kakake
Piah haisi za kwenda ihumwa na chamwino zinapatikanaMitumba spesho
Kwa wakubwaaaaKilimani club
Cape town bar kiwanja kipyaaa na kina mvutoooKwa wanjaja
KakimbiaAkikujibu niite kakake
Mambo yoteee ya simu umepata jibuSimu street
MashalaaahAnswari
Ukirud ya 7 unakutana na vitumbuaa na bagia za kumwagaMwanga bar
Pamebomolewa saiv tabu tupuKuku choma
ExactlySinza ya Dodoma
Hakuna mheshimiwa ambaye hajalala hapoHoteli bomba
Makubwa mpaka yamenishindaKwa hiyo yameshakuwa makubwa
Duuuuu, hahahahaha ama kweli Maji yaweza panda mlima. Nambari hizooo mkuu
Nimeweka sana asikwambie mtuWewe hujamuweka huyo?