mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good morning Dar es salaam
Good morning My QueenAlright kaaazi kweli kweli
Mama Africa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kachongesha. Wanashindiliwa hata nyama za nguruwe huko makalioni. Wengine zinawakubali, wengine zinawakataa. Ni shida !!!
HahahahahaHuyu anafanana na wewe sis. Sema tu yeye mnene kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Mike Tyson jamaa alikuwa ngumi JiweTrevor Berbick alipoonjeshwa joto ya jiwe na Iron Mike akiwa bado kijana. Ngumi moja tu ilimwangusha mara tatu na kupoteza mkanda wake wa ubingwa wa uzito wa juu na kumfanya Mike kuwa bingwa kijana zaidi kuliko wote....
![]()
Aisee furusa nzuri hii nimeinasaHivyo mkulima akiuza embe moja kwa shilingi 300 huweza kupata kati ya 900’000 na 9,000,000 kwa miembe mikubwa na midogo
Morning mkuu habari za jumamosiGood morning
Ndiyo mkuu, vipi kwemaNaona kuna maingizo mapya kama Demiss.