Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii salamu hii hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo kwa BAK nimebaki hoi sijui hata wawazaga nini yaani[emoji23][emoji23][emoji23]

Habari ya jumamosi shem
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo imara kwa kweli. Sijui wewe? Jana nilichoka kijua cha barabarani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] HARUFU na upole wake anisamehe bure[emoji120] [emoji120]
Marahaba binti yangu, kwema?
Naogopa kusahau nisije kuita "Numbi beibiiii... " mbele za watu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]anakuja kwa biashara ya maparachichi

Kama ni mambo mengine kuzimia kunamuandama
Nimeshtuka nikajua ni gudume bhana.

Hata mimi nazungumzia biashara ya "maparachichi" [emoji23][emoji23][emoji23]mkaribishe mgeni vizuri akija idodomya,sawa cha mdeko??
 
Nimeshtuka nikajua ni gudume bhana.

Hata mimi nazungumzia biashara ya "maparachichi" [emoji23][emoji23][emoji23]mkaribishe mgeni vizuri akija idodomya,sawa cha mdeko??
Nimemkaribisha sana nitamuandalia

Kuku wa kuchoma

Nitampeleka nyerere square akapige pichaaa

Nitampeleka Morena akale pizza

Baada ya hapo tunaenda majengo kuuza maparachichi

Akiwa na mm nahisi ndani ya lisaa limoja mzigo unaisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] chiinekeee neee....
Mtoto huyu nitampataje? Nayapendaga hayo mambo ya nginja nginja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weweeeee weweee kesi mm sitaki ndugu

Umekuja na maparachichi au unatafuta mzimio.com
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andjul shem peleka "maparachichi" Hayo ASAP
Usisahau mrejesho tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…