Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

''Nimempata mwanangu Pramesh'', mamake Rajashree Patil aliambia BBC.

''Nilimpenda sana mwanangu, alikuwa mwerevu sana shuleni na alikuwa akisomea shahada katika uhandisi nchini UJerumani alipopatikana na uvimbe huo ikiwa ni awamu ya nne ya saratanii katika ubongo.
 
Baada ya mwanawe mwenye umri wa miaka 27 kufariki kutokana na saratani ya ubongo miaka miwili iliopita, Rajshree alikataa kuomboleza na badala yake alitumia shahawa hiyo ya mwanawe kupata wajukuu hao.
 
Huku akisukumwa na lengo la kumpata mwanawe Dr Supriya Puranik, ambaye ni mtaalamu wa IVF katika hopsitali ya Sahyadri alisema mbinu ya IVF ilikuwa kitu cha kawaida lakina kisa hiki kilikuwa cha kipekee kwa kuwa mama aliyekuwa na huzuni alitaka kumpata mwanawe kwa gharama yoyote ile.
 
Kwa taarifa tu huyo bibie anazimisha watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE hebu amka uje umuone shemejiyo huku
Safari hii kibao kitageuka na bibie ndo atazimia. Akipakwa urojo wa maparachichi mwili mzima na kisha kutandikwa na hilo saksafoni nene zito refu kwa angalau dakika 45 hivi, asipozimia basi tutamuomba wamwingize kwenye Mwakaleli Guinness world record [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nashukuru sana. Huwa nauzaga maparachichi, naamini huko yatapata sana soko.
Ni manene,marefu japo yamepinda kidogo kwa mbele lakini ni matamu kwa kweli.
Ni magumu magumu,hayalainiki kirahisi rahisi... Nitakapo kuonjesha moja hakika utainjoi ze woridi
Jamaniiiiii....!!!

Hayo masaksafoni yana kazi. Silaha bora ya kulindia heshima ya ukoo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chaa!!

Shkamoo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mojawapo ya salamu bora kabisa japo ina kaharufu ka jibapa. ASANTE mkuu....
 
Zari atoboa siri rasmi kuachana na Diamond, amwanika vibaya “kukumbatiana na ma X kwenye public”



Kwa mara ya kwanza Zari the Bossy Lady ambaye ni mama watoto wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinumz amefunguka kuhusu sababu za kuachana na C.E.O huyo wa kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), amesema Diamond hakutegemea alichokipost kwani siku kabla ya kuachana walikuwa wamechuniana kwa takribani muda wa wiki tatu mfululizo, huku akiwa ameifungia simu yake, ”Block”.


Zari akiwa nchini Uingereza amepata nafasi ya kuzungumza na BBC Swahili na kufunguka kila kitu kuhusu ishu nzima mpaka kufikia maamuzi hayo ya kutangaza kwenye akaunti yake ya instagram kuachana na Diamond katika siku ya wapendanao.


‘’Kwanza I didn’t think ali expect my post he didn’t see it coming ,nimekaa sana mda mrefu nikajifikiria vitu vingi nikasema unajua ni nini I need to post this, I need to end this..tulikuwa tuna jaribu ku move forward kuhusu hiyo skendo eti amepata mtoto, lakini leo unasikia hivi unaona vile eti kukumbatiana na ma x kwenye public ni vitu vya kunidharirisha vitu vya kunifanya niwe very disrespected na watoto wangu’’, amesema Zari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…