Mniachie binti yangu jamani ohoooo !!!"Dadiii lala utaumwaa''...aaaaaahh..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema kamanda. Uwe unatumbelea na huku mkuu...Mkuu heshima yako
Hahahahah kitoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa
Jamani jamanii...Dadiii huku baridiiii hahahhahaha
Hata mie wananionea tuHebu weka evidensi kuwa mimi ni andaeitini[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kunipunguzia umri jamani
Kuna liukweli though [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali shem
Aje aimbe mashairi yakeCole aje afanye nini tena? Kijana wako mpole...
Kama ni mahakamani analimwa mvua za kutosha tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utetezi wako hauna mashiko
[emoji23][emoji23][emoji23]katoa pinki jana kaweka rangi ya kijani kama uwanja wa taifaMambo ya andjul na mzee wa suruqli za pink.
Una habari mzee mwenzangu ho chi minh ame bleach kaweka pink ni vurugu huku mtaani
Teh teh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mniachie binti yangu jamani ohoooo !!!
She takes care of her dadi tena kwa upendo na ukarimu wa ajabu sana. Ni binti mwema na ninayependezwa naye