Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5e4274e7a1c3167e9f433eeb0008e548.jpg
 
Aisee hii jumapili kichwa kinanipasuka kwa kweli, mambo ni mengi na taslimu hamna. Yaani nina shida nayo kinyama...

Yote kwa yote jua la Dar linachosha,nipo tu home naisindikiza jumapili
Pamoja mkuu uwe na weekend njema sisi watu football hii ni super Sunday kuanzia saa tisa mpka saa tatu ni big mechi tu
 
Back
Top Bottom